RIWAYA YA KUFA KUZIKANA.
Maagizo:
-Jibu maswali yote.
1. Jadili umwafaka wa anwani kufa kuzikana ukirejelea riwaya yenyewe.(alama 33)
2. Eleza sifa za wahusika wafuatao.
i. Akida bin Sululu. (alama 11)
ii. Tim Mapisi. (alama 11)
iii. Mzee Uledi. (alama 11)