Tamthilia ya mfalme Edipode ni tafsiri ya moja wapi wa michezo ya misiba iliyo mashuhuri iliyotugwa na mwandishi wa kigiriki.sofokile..Ni hadithi nzuri kuhusu mfalme ambaye pamoja na kuwa na moyo laini,ana ndweo ya kiburi cha kuzawa nacho.Kiburi hicho ndicho kinachompeleka kwenye kigo kiovu.read chapter one then we discuss.