JIBU MASWALI YOTE.

BARAKA ZA MAMA.

1. Mhusika Baraka alizaliwa na Baraka nyingi kweli kweli.Tetea Ukweli wa kauli hii kwa kutoa mifano kitabuni.                 (alama 17)

B. Jadili changamoto alizokabiliana nazo mhusika Baraka katika harakati zake za kufaulu maishani.                          (alama 16)